Update:

PICHA 20 RC GAMBO AKIWA KATIKA ZIARA YA SIKU TANO MKOANI ARUSHA

Matengenezo ya mradi wa barabara ya BP- SUNFLAG wenye km 0.85 kwa kiwango cha lami upo katika kata y a Themi na mkandarasi Rocktronic LTD  kwa lengo la kuboresha miundombinu ya barabara ndani ya kata hiyo pamoja na wilaya ya arusha kwa ujumla


 MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO MASHAKA GAMBO AKISOMEWA TAARIFA YA MRADI WA BARABARA YA BP-SUNFLAG BARABARA YA BP-SUNFLAG
 MKUU WA MKOA WA ARUSHA AKIKAGUA MAGARI YA UJENZI WA BARABARA YA BP-SUNFLAG

 MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO GAMBO AKIENDESHA KATAPILA LA UJENZI WA BARABARA YA BP-SUNFLAG


 MKUU WA MKOA WA ARUSHA AKISHUKA KATIKA KATAPILA LA UJENZI WA BARABARA YA BP-SUNFLAG

No comments