Update:

Mnyeti naye kuhojiwa na Kamati ya Bunge

Mkuu wa Wilaya Arumeru Alexander Mnyeti ameitwa na Bunge kuhojiwa kuhusiana na tuhuma za kulidhalilisha Bunge.
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema hayo leo mara baada ya kipindi cha maswali na majibu bungeni.
Amesema Mnyeti ameitwa leo baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, kinga na madaraka ya Bunge
source:mwananchi

No comments