Update:

Majina ya Watumishi wa Umma wenye vyeti vya kughushi

Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma na utawala bora tayari imetoa Orodha ya majina ya Watumishi wa Umma wenye vyeti vya kughushi.
Hii inatokana na agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli alilolitoa April 28,2017 ambapo aliwataka watumishi wa umma ambao wana vyeti bandia kuacha kazi na kusema pia majina yao yaandikwe kwenye magazeti kwasababu ndiyo sera za uwazi.
.
BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YA WATUMISHI WALIO GUSHI VYETI

BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YA WATUMISHI WA TAASISI MBALI MBALI

No comments