Update:

KUVURUGIKA KWA HOMONI ZA KIKE NA SULUHISHO LAKE.
Napenda niseme tu kwamba moja ya sababu kubwa iliyonigusa kuandika elimu hii juu ya kuvurugika kwa homoni za kike ambazo ni estrogen,progesterone, Follicle Stimulating Homon,Luteinazing Hormon na Testotestorone.
Kwani tatizo hili limekuwa ni tatizo ambalo kila mwanamke analo na wengi wao wametumia kila mbinu ya kuondoa tatizo na wameshindwa.

Basi leo utajifunza jinsi gani unavyohangaika kuangamiza sisimizi kwa kutumia bunduki na ni uharibifu wa miundo mbinu katika uhalisia kwani hukuzaliwa na matatizo hayo, ulikuwa mwenye afya tele na unayefurahia hedhi yako bila tatizo.
 
MAMBO YANAYO ASHIRIA UNA TATIZO KATIKA HOMONI ZAKO ZA KIKE
1. Kuwa na hedhi ya muda mrefu Zaidi ya siku 7 unatumia Zaidi ya pedi 2
2. Kuwa na hedhi yenye kuambatana na maumivu Makali sana
3. Kuwa na hedhi yenye kuambatana na kichefu chefu,kuharisha
4. Kuwa na hedhi iliyojaa woga mkubwa sana
5. Kuwa na hedhi ambayo haina mpangilio, Unaweza kuingia mara tatu kwa mwez mmoja, mara mbili au unaweza usipate kabisa hata miezi 6 hadi mwaka.
6. Kuwa na ndevu sehemu za usoni,kifuani nyingi kupita kiasi
7. Kuwa na kitambi cha tumbo la chini (Abdominal obesity)
8. Kukosa mtoto kwa muda mrefu
9. Kukosa hamu ya tendo la ndoa lenye kuambatana na maumivu makali
10. Mwili kuwa unauma sana hasa misuli bila sababu ya msingi, kuumwa sana na kichwa bila sababu ya msingi.
Nimekuwa nikitafutwa na wakina mama wengi sana na wamekuwa wakinisimulia jinsi gani wamesumbuka na kutatua tatizo hilo. Kusema kweli huwa ni watu ambao napenda kuwaweka katika makundi yafuatayo halafu wewe utajitambua upo kundi lipi.
Kundi la kwanza ni wale ambao ndio tatizo nimeanza kuwaandama na hivyo wanajaribu kutafuta njia nyepesi za kuondoa tatizo kabla hawajafikia zile njia ngumu za hospitali za kuliondoa tatizo. Wanawake wengi huwa ni woga sana wa kuguza uzazi wao hasa pale inapotokea hajaolewa na hajapata mtoto hivyo ikitokea ana tatizo kama hilo wengi huwa wanakuwa makini kutojishirikisha na njia hatarishi. Afya yako ni hazina yako wewe ndiye mwenye mamlaka wa kuruhusu tiba flani itekelezeke au hapana.

Kundi la pili ni wale watu ambao wametumia kila mbinu za kutatua matatizo kwa kuanzia ngazi za juu lakini hawapata suluhisho. Sasa anaanza kutafuta suluhisho kwa upande wa pili ili aone kama na huko pia atafanikisha kuifikisha afya yake mahali stahiki. Hawa huwa wamesumbuka kwa wataalamu mbalimbali lakini hawajakata tamaa.
Kundi la tatu ni wale watu waliotumia njia zote bila mafanikio na hadi wametamkiwa na washauri wao hapo hutaweza kufikia malengo, shusha pumzi yako ipokee hali yako maisha yaendelee.

Hawa ni watu ambao wanaishi katika msongo wa mawazo mkubwa sana ambao sitamani hata kuelezea mpendwa.
Siri kubwa ambayo nakumegea ni kwamba Hukuzaliwa na matatizo hayo Ulikuwa mwenye afya tele na mwenye kufurahia hedhi yako.
Mwanamke huwezi kuwa na Amani kama hedhi yako ina kasoro,kwani hio ndio nyota njema katika maisha yako kiafya ya kila siku ni jukumu letu kuhakikisha inarudi katika misingi ya mwanzo na ufurahie hedhi yako.
Nina Imani kwamba umetumia njia nyingi sana, na kama ndio umehitimisha na umekata tamaa basi napenda nikushauri kwamba ili uweze kunielewa vizuri katika haya machache hakikisha Unatupilia mbali yote ambayo ulishauliwa kuyafanya na hayajakupa matunda yote unayojua kichwani mwako inawezekana kabisa hayana faida yoyote na inaweza kuwa ni chanzo moja wapo cha kukuzuia wewe kurudiaa afya yako njema. Hebu wasiliana nasi ili uweze pona tatizo lako kwa haraka.

No comments