Update:

Anthony Joshua amchapa Vladimir Klitschko katika pigano la ndondi uzani mzito duniani

Anthony Joshua amchapa Vladimir Klitschko

Anthony Joshua amchapa Vladimir KlitschkoAnthony Joshua amchapa Vladimir Klitschko katika pigano la ndondi uzani  mzito duniani
Mashabiki na wapenzi wa ndondi zaidi ya 90 000 walishuhupia mpambano mkali  wa ndondi  bain aya bingwa wa mkanda wa IBF  Anthony  na Vladimir  katika uwanja wa Wembley.
Mpambano mkali wa ndondi ulishabikiwa zaidi ya watu 90 000 katika usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili ambapo Anthony Joshua aliibuka mshindi.
Anthony amefaulu kumlaza Vladimir katika mzunguko wa 11 wa ndondi.
Bondia  huyo mwenye asili ya Uingereza na mshindi wa Olympic mwaka 2012 amejipatia ushindi huo kwa mara ya 19 kwa « KO ».