Update:

UPDATE:Mbunge Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo March 3, 2017 imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, Mahakama hiyo ilimtaka mbunge huyo kuwa na wadhamini wawili na Tsh. Mil 3 lakini ikafanya marekebisho kwa kumtaka Lema kusaini bondi ya shilingi milioni 1 ambapo alikidhi vigezo na kuachiwa huru.

No comments