Update:

16 March 2017

Tundu Lissu Asafirishwa Kuelekea Dar es Salaam Akidaiwa Kuruka Masharti ya Dhamana

Mbunge Tundu Lissu(CHADEMA) amekamatwa na Polisi asubuhi ya leo nyumbani kwake Dodoma na kupelekwa Ofisi ya Kamanda wa Polisi na sasa anasafirishwa kwenda Dar es Salaam kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana.