Update:

30 March 2017

Schweinsteiger atambulishwa rasmi Chicago Fire ya Marekani

Schweinsteiger amekabidhiwa jezi namba 31

Schweinsteiger amesha anza na mazoezi na timu hiyo wiki hii baada ya kumalizana na klabu ya Manchester United ya Uingereza.