Update:

New Video: Miss Kiki – Kata Kiuno

Rapper Miss KK ameachia video ya wimbo wake mpya, Kiuno. Video ilifanyika Afrika Kusini ambako amekuwa akiishi kwa miaka mingi. Kwa sasa amerejea nchini Tanzania.

No comments