Update:

Binti wa miaka 18 abakwa kwa kudanyiwa Ajira

Vijana wawili wanao kadiriwa kuwa na umri wa miaka 28 wamembaka binti mdogo mwenye umri wa miaka 18 katika kitongoji cha Majengo  kijiji cha Magugu Wilayani babati
Akidhibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Mkoa wa Manyara Fransic Masawe amesema binti alitokea Dar es Salaam maeneo ya Mburaati  alirubuniwa kuwa wanataka kumtafutia kazi hivyo walipo mchukua kumpeleka huko nyumbani kwao ndipo waka mbaka

No comments