Update:

Azam Fc yaendelea kuweka rekodi katika uwanja wao wa Chamazi

Klabu ya Azam FC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, wameanza vizuri michuano hiyo kwa kuifunga Mbabane Swallows ya Swaziland kwa bao 1-0.

Mechi hiyo ambayo ilipigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex ambao upo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Azam FC ilipata goli lake la kwanza dakika 85, goli ambalo lilifungwa na 85 Ramadhan Singano ‘Messi’ alipofunga bao akiwa ndani ya eneo la hatari.