Update:

27 February 2017

HABARI ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE: WATU SITA WANAHOFIWA KUFARIKA DUNIA HUKO BUTIANA MKOANI MARA MARA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI WAKATI WAKICHIMBA MADINI

Watu 6 wanahofiwa kufariki dunia mara baada ya kufukiwa na kifusi asubuhi ya leo wakati wakichimba madidi katika mgodo unaodaiwa kuzuiliwa na serikali kutumuka kwa shughuli hizo katika eneo la Butiama mkoani Mara..............................SAUTI YA KAMANDA WA POLISI MKOANI HUMO KAMANDA RAMADHANI NGAZI AKIZUNGUMZA NA SUNRISE RADIO www.sunriseradio.co.tz