Update:

08 October 2016

Marufuku nyama ya kuku Nchini China

Serikali ya China yapiga marufuku uuzaji za kuku zilizozalishwa kwa mbinu mpya ya uzalishaji kwa kutumia homoni .

Raia wengi nchini China wameripotiwa kuwa na maradhi yanayosababishwa na hormoni zinazopatikana katika proteini ya nyama ya kuku.
Wizara ya afya ya umma imetangaza kuwa makampuni yote ya kuuza nyama ya kuku kufungwa na viwanda vitakavyokiuka sheria hiyo mpya vitapewa adhabu kali.
Kwa sasa kuku waliozalishwa kwa kutumia hormoni na antibiyotiki wanauzwa karibu kila pande ya dunia .
Wazalishaji wa kuku hizi kwa ajili ya biashara hutumia hormoni na antibiyotiki ili kuharakisha kukomaa kwa kuku hawa .