Update:

08 September 2016

WAKUU WA NCHI WAHUDHURIA MKUTANO WA 17 WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


1. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili ukumbini
2jdjkcjlhcjlch

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokeaakimkaribisha Rais mstaafu wa Tanzania wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016
3 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Rwanda Paul Kagame kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016 (katikati ni Mpiga picha wa Rais John Chacha)
5Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea makamu wa Rais wa Kenya Wiliamu Ruto kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016
6Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Uganda Yoeri Kaguta Mseveni kuhudhuria Mkutano wa 17 wa dharura wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afika Mashariki Ikulu jijini dar es salaam Septemba 8,2016
unnamed-1 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Sudan ya Kusini muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016
unnamed-2Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Burundi Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Nyamitwe muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016
1111Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. Liberat Mfumukeko muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya Afrika Mashariki katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016
unnamed-3Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha ndani kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 8, 2016