Update:

07 September 2016

VITU VYA KUFANYA KUJIKINGA NA U. T. I

Image result for njia za kutibu uti
 • Ongeza unywaji maji kila siku au juisi za matunda, juisi uliyotengeneza mwenyewe nyumbani.
 • Epuka vinywaji baridi, pombe, chai ya rangi na kahawa.
 • Penda kuwa msafi.
 • Mara zote jitawaze kutoka mbele kurudi nyuma na uepuke kuchangia na wengine vifaa vya bafuni.
 • Pata haja ndogo mara baada ya tendo la ndoa.
 • Usiushikilie mkojo muda mrefu, mara usikiapo kutaka kupata haja ndogo mara moja nenda
 • Vaa nguo za ndani zilizotengenezwa kutokana na pamba.
 • Epuka kaffeina.
 • Epuka tendo la ndoa kinyume na maumbile.
 • Source:Doctor Emmanuel Mabisi
 • Jiunge na M-Media Tz sasa

  Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook PageTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video mbalimbali kutoka M-Media Tz!