Update:

09 September 2016

Puff Daddy Aongoza “2016 Cash Kings” Ya Forbes Magazine
Jarida linaloheshimika ulimwenguni la masuala ya fedha na uchumi la Forbes, limetoa orodha mpya ya wale inaowaita Cash Kings katika muziki wa Hip-Hop. Kwa maneno mengine hawa ni wanamuziki wa Hip-Hop ambao wana fedha zaidi hivi sasa kwa mujibu wa vipato vyao, deals za matangazo, brands sales nk

Kama ilivyokuwa mwaka jana, Puff Daddy ndio anayeendelea kushikilia usukani ikiwa ni mwaka wa pili mfulululizo na mara ya tano katika miaka sita iliyopita. Jay Z ndiye anamfuatia na kisha Dr.Dre.

Orodha kamili hii hapa

Forbes ‘2016 Cash Kings’:
1.Puff Daddy
2. Jay Z
3. Dr. Dre
4. Drake
5. Wiz Khalifa
6. Nicki Minaj
7. Pitbull
8. Pharrell
9. Kendrick Lamar
10. Birdman
11. Kanye West
12. DJ Khaled
13. A$AP Rocky
14. J. Cole (TIE)
14. Lil Wayne (TIE)
14. Macklemore & Ryan Lewis (TIE)
14. Snoop Dogg
18. Eminem
19. Swizz Beatz
20. Ludacris (TIE)
20. Rick Ross (TIE)