Update:

08 August 2016

Tazama hapa picha za matukio mbalimbali yanayo endelea katika maonesho ya Nane Nane 8-8-2016 viwanja vya TASO vilivyopo Njiro-Arusha Tanzania

Mkurugenzi Mtendaji wa Sunrise Radio Dionis Moyo


Baadhi ya wanafunzi wakitembelea banda la Sunrise Radio kwaajili ya MafunzoBaadhi ya Wapenzi wasikilizaji wakitembelea Banda la Sunrise Radio katika maonesho ya nanenane yanayo endelea  Njiro

Baadhi ya Wapenzi wasikilizaji wakitembelea Banda la Sunrise Radio katika maonesho ya nanenane yanayo endelea  Njiro

Baadhi ya Wapenzi wasikilizaji wakitembelea Banda la Sunrise Radio katika maonesho ya nanenane yanayo endelea  NjiroBaadhi ya staff wa Sunrise Radio wakiwa katika utekelezaji wa majukumu ya hapa na pale