Update:

01 June 2016

PICHA ZA WOLPER WA HARMONIZE ANAVYOJIACHIA UKWENI NA MAMA MKWE WAKE MTWARA.


 Leo ni siku ya tatu kuanzia Harmonize na mpenzi wake Wolper waanze kuposti picha wakiwa mtwara kwa wazazi wa harmonize.

I am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu... Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe... Mjipikilishe.. Akushauri
Hapa nimepata rafiki kwa kweli...
I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu


kupitia ukurasa wake wa IG Wolper amepost picha akiwa anafurahia kuwa karibu na mama mkwe na kushare nae mambo tofauti katika maisha ya mtwara, nimekuwekea hizi picha pamoja na maneno yaliyoambatana na picha hizo kutoka mtwara life.

Nalipenda jiko nanaliweza #ukweni👌Mtu na wifi yake my Amina
Jiko bila umbea aliivishi wifi & I MoodMkwe kwa mbali👌Bibi kanifanya nacheka kwanzia mwanzo wa pishi paka mwisho jamani Nina Amani moyoni syo kwa mahaba haya yenye mizizi sugu ukizingatia huyu ndo yule Bibi aliyemfundisha Raj mapenzi nakumsisitizia mwanamke apigwi nangumi ila niupande wakanga basi mwezenu taabani syo makosa yangu nimakosa ya unyago wakimakonde.