Update:

Degree/Diploma sio kazi sehemu ya nane

Jana tuliona ni kwa nini mwanachuo ni tofauti na wengine, at least kinadharia.

Fikra hizo au definition hiyo ya degree/diploma holder ndiyo inayoleteleza jamii na wewe mwenyewe kuamini ya kwamba wewe utaleta mabadiko makubwa katika jamii..

Fikra ni tabia pamoja na kwamba utafunzwa namna ya kuwa DEGREE/DIPLOMA HOLDER  MWENYE fikra za juu. Kama hutaweza kujizoesha practically kuwa na fikra za juu basi unaweza usi-fit katika definition hiyo.

Angalia Facebook ya msigwa juzi - Kuna comment nzuri sana.

Ndio mana kuna vijana kama Zitto, Nasari na wengine, baada ya kumaliza Chuo tu walienda kugombea ubunge. Ukirudi nyuma kuwafuatilia utajua haikuwa bahati mbaya, WALISHAJIZOESHA KUWA NA FIKRA ZA JUU.

Ndio mana kila wakati tumasema kuwa na VISION KUBWA, DREAM BIG.

Usiwaze kuwa Mwalimu tu, waza kuwa mmiliki wa mashule.

Usiwaze kuwa daktari tu, dream to be owner of the finest clinics

Kama hawa watu wa sociologist, journalist anzisha ma-blog na ma-website (zipo za free) tafuta ishu za kuandika utapata followers duniani kote, utauza vitabu online ulivyotunga mwenyewe, utauza bidhaa [kama huna bidhaa za kuuza nitafute pembeni a.k.a inbox]

Opportunity ni nyingi sana, hata haziishi.

Jizoeshe kuwaza na kutenda katika fikra za juu kama MTU Mwenye degree/diploma. THINK & ACT AT YOUR LEVEL.

Na.Mwl Adson Kagiye
#0756508071