Update:

Wiki hii Rais Magufuli alinawa mikono na kula na watu mgahawani Mwanza


Ni safari yake ya kwanza kwenda nyumbani kwao Chato ambapo alishuka kwenye uwanja wa ndege Mwanza na kabla hajaondoka kwenye eneo la uwanja akatoa shilingi laki moja kununulia Wananchi soda na kisha akakaa kwenye mgahawa wa pembeni mwa uwanja wa ndege na kula chakula kama mteja mwingine wa kawaida, tazama kwenye hii video hapa chini.

No comments