Update:

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA RASMI DARAJA LA KIGAMBONI, ALIITA JINA LA DARAJA LA NYERERE APRIL 19,2016

 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Kigamboni kabla ya kufungua Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria ufunguzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika Wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiteta jambo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt Ramadhani Dau wakati wa uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakitembea juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016


Muonekano wa daraja la kigamboni lililofunguliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli

No comments