Update:

Jinsi ya kuvikabili baadhi ya vikwazo sita kwa mjasiria mali


1: Mtazamo wa mjasiriamali
2:Ushindani mkali
3:Mtazamo kwa wanaokuzunguka
5:Kufanya vitu kwa mazoea
6:Matatizo ya kifedha

JINSI YA KUVIKABILI
1: Fahamu kuwa biashara yako ndio kazi yako
2:Kuwa mbunifu ili kujitofautisha na wenzako
3: Shirikiana na watu na uache ubinafsi
4: Kuwa msimamizi wa mzuri kwenye biashara yako
5: Kuwa mvumilivu kwa mambo ambayo yanaweza kujitokeza.

HAYO NI MAMBO AMBAYO MKUFUNZI WA AJTC MR THOMAS MAJALIWA ISHENGOMA ALIPOKUWA AKIWASILISHA MADA INAYOSEMA "MAANA YA UJASIRIAMALI"  KATIKA SEMINA YA UJASIRIAMALI INAYOENDELEA CHUONI HAPO.

Na. Deogratius Festo

No comments