Update:

Ubelgiji wamepata msiba, milipuko miwili imetokea Uwanja wa Ndege


Kwenye vyombo vya Habari vya kimataifa, habari inayo-make headline sasa hivi ni taarifa ya milipuko iliyotokea uwanja wa Ndege wa Brussels na Kituo cha Treni cha Metro nchini Ubelgiji.
Chombo cha Habari cha Al-jazeera kimeripoti kuwa takribani watu 28 wameripotiwa kufa kwenye milipuko hiyo, ambapo inasadikiwa kuwa milipuko hiyo ni shambulio la kujitoa muhanga. 
20160322_143031
Brussels_smoke_3598751b
.
Brussels-airport-3
.
Damage_at_Brussels_3598759b
3272A59D00000578-3503928-image-m-62_1458635459082
.
3272CE1300000578-3503928-Aftermath_A_man_lies_stricken_on_the_pavement_as_survivors_kiss_-m-10_1458639898628
.
3272CE8400000578-3503928-Bravery_People_are_treated_comforted_and_given_water_by_the_emer-m-7_1458639870116
.
3272E4D300000578-3504028-Rescue_effort_A_Maelbeek_victim_is_carried_on_to_a_stretcher_as_-a-41_1458639895538
.
32726E7600000578-3503928-image-m-45_1458633847814
.
3272923E00000578-3503928-image-m-58_1458634700481
.
3272C33300000578-3503928-Debris_litters_the_floor_after_two_explosion_rocked_a_terminal_b-a-31_1458641397052

No comments