Update:

Tazama eneo ilipoanguka ndege ya Fly Dubai na kuua wote 62Taarifa za hii ajali zilianza kutoka March  19 2016 asubuhi ambapo ndege ilikua na abiria 55 pamoja na Wafanyakazi saba ambapo ilianguka uwanja wa ndege wakati ikijaribu kutua huko kusini mwa Urusi kwenye mji wa Rostov-on-Don ambako hali ya hewa ilikua mbaya.
Wizara ya dharura ya Russia imesema hali mbaya ya hewa ndio inatajwa kuwa chanzo ambapo ilipata ajali kwenye jaribio la pili la kutaka kutua kwenye uwanja huo wa ndege baada ya kuzunguka angani kwa saa mbili ( dakika 120) kabla ya kuruhusiwa kufanya jaribio la pili la kutua.

No comments