Update:

MZIWANDA: AFYA YA CHID YANIGUSA

AFYA YA CHID BENZ YAMGUSA NUH MZIWANDA KAYAANDIKA HAYA HAPA KUHUSIANA NA CHID.

 
Nisiku kadhaa tangu chid benz kuonekana akiwa katika hali iliyokuwa ikitia huruma kwa kila aliye kipind cha Weekend Chat Show na aliye  tizama picha zake zilizochukua headline kubwa mtandaoni huku kila mmoja akisikitishwa na afya ya msanii huyo .

Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii Nuh Mziwanda ameandika haya maneno hapa chini 

Tungekua tunamsaport kipindi anaachia ngoma na kushare cover zake kama mnavoshare picha ya brother kipindi hayupo sawa ingekua Mali kweli'ila waTanzania wanajuaga umuhim wa mtu kipindi tayari yupo Matatizoni'Watu tunaotumia Mitandao tujifunze kuitumia vizuri kusaport wasanii wetu kipindi tayari wana nguvu zao'benz kaachia ngoma nyingi hapa kati lakini hakukua na fujo kama hii ya kusambaza Picha mbovu 'salute sana wasanii wote waliokua bega kwa bega kumpa kampani Chid 'kwa yoyote alienpost chid ile picha kama una huruma futa na share picha nzuri na usema Chid is back 'itampa Moyo na atajiona still yupo sawa na ajue bado anahitajika na Mashabiki zake #ILaLa💪 Aliandika Nuh


A photo posted by Chief Wonder🙏 (@iam_mziwanda) on

No comments