Update:

04 February 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA KATIKA SIKU YA SHERIA DUNIANI JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 04,2016Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokelewa na Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman mara baada kuwasili katika viwanja vya Mahakama – Chimala Dar es salaam kwa ajili ya kuzindua Mwaka Mpya wa shuguli za Kimahakama katika siku ya Sheria Duniani Februari 4, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakiteta jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam February 4, 2016