Update:

MPENZI MSOMAJI WA BLOG HII TUSHIRIANE PAMOJA KUTAMBUA DARASA HURU LEO KUPITIA MFANO HUU

Image result for wazo la leo
Niliomba nafasi ya kujiunga na chuo kikuu cha
Havard mara 10 lakn nilikataliwa,"
`Tuliomba kazi watu 21 kisha 20 walipata kazi 1
alikosa ambae ni mm,,"
Niliwaza kuanzisha campuni itakayohusika na
maswala ya internet angali sijui hata kuwasha
computer"
watu waliniona mm ni kama mtu alierukwa na
akili,,,mara nyingi walipenda kusema nipo ndotoni
na hakuna siku nitaamka,,,lakin ukweli ni kwamba
leo hii ni moja ya mabilionare waliopo duniani
namzungumzia Jack Ma mkurugenzi wa kampuni
ya Alibaba Group kutoka China,,
Haijalishi ulichokuwa umekipanga kwenye maisha
kimekataliwa mara ngapi,,mtu ulietegemea akutie
moyo ndo kwanza anakukatisha tamaa,,,bado kama
una ndoto endelea kuzilinda haijalishi utapita katika
njia ya aina gani,,,lakn unapaswa kufahamu kitu
kimoja kama leo ni siku mbaya kwako basi kesho
ipo mara mbili mbaya zaidi au nzuri yenye
kukufanya ione dunia ni sehemu salama zaid ya
kuishi,
Tunapaswa kufahamu kuwa hakuna mtu
alieumbwa kwa majaribio palipo na malalamiko
ndipo fursa zilipo,,

No comments