Update:

Meli kubwa ya vitabu duniani imewasili Dar, kuna haya muhimu kuyajua…

Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu, basi Good news ikufikie kuwa tayari meli ya Logos Hope ya Ujerumani ambayo huzunguka nchi mbalimbali Duniani kusambaza vitabu vya aina tofauti imeshatua Dar kuanzia Jan 26 na itaondoka Febr 17. Kutana na muonekano wote nje ndani kwenye hii video hapa chini.