Update:

Freeman Mbowe atangaza baraza kivuli la mawaziri wa kambi ya upinzani bungeni


Tazama Media Today


Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe, ametangaza baraza lake kivuli la Mawaziri na kuwasihi wahusika kutoa Ushirikiano kwa Baraza hilo alilolitangaza bungeni baada ya Maswali na Majibu.

Waliotangazwa Katika Orodha hiyo ni Pamoja na;
Wizara ya Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.Mawaziri – Jaffar Michael
Naibu Waziri – Joseph Nkundi na Ruth Mollel

Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira 
Waziri – Ali Saleh Abdalla
Naibu Waziri – Pauline Gekul
Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na WalemavuWaziri – Esther Bulaya
Naibu – Yusuph Makame na Maftah Abdalla
Wizara ya Kilimo, Mifugo na UvuviWaziri – Magdalena Sakaaya Naibu
Waziri – Emmaculate Swari
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.Inj. James Mbatia
Naibu Waziri Willy Kombucha
Wizara ya Fedha na Mipango Waziri – Halima Mdee
Naibu Waziri – David Silinde
Wizara ya Nishati na Madini 
Waziri – John Mnyika
Naibu Waziri – John Heche

Wizara ya Katiba na Sheria Waziri 
Tundu Lissu Naibu
Waziri Abdalla MtolelaWaziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.Waziri – Peter Msigwa
Naibu Waziri – Riziki Shaghal
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga TaifaWaziri – Juma Omari
Naibu Waziri Mwita Waitara

Wizara ya Mambo ya Ndani 
Waziri – Godbless Lema
Naibu Waziri Masoud Abdalla
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.Waziri – Wilfred Lwakatare
Naibu Waziri – Salum Mgoso

Wizara ya Maliasili na Utalii 
Waziri Esther Matiko
Naibu Waziri– Cecilia ParesoWizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.Waziri Anthony Komu
Naibu Waziri Cecil MwambeWizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na UfundiWaziri – Suzan Lyimo
Naibu Waziri Dkt. Ali Suleiman Yusuph
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na WatotoWaziri – Dkt. Godwin Mollel
Naibu Waziri Zubeda Sakul
Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na MichezoWaziri – Joseph Mbilinyi
Naibu Waziri – Devotha Minja

Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri –Hamidu Hassan
Naibu Waziri– Peter Lijualikal