Update:

30 January 2016

Ujumbe wa Ruby kwa Alikiba baada ya kusikia Alikiba ana Mbwa anaitwa Ruby


Mrembo wa kwanza kushinda shindano la Serengeti Super Nyota Diva Ruby January 30 ameingia kwenye headlines baada ya kutopendezwa kwa kauli ya staa wa Bongo Fleva Alikiba, kauli ambayo anaamini kama dharau au kejeli kwake. Ruby anadai kumsikia Alikiba akisema katika kipindi cha The Sporah Show kuwa ana Mbwa anaitwa Ruby kitu ambacho hakuwahi kumwambia, Ruby anaamini kuwa kafananishwa na Mbwa. Huu ndio ujumbe alioamua Ruby kumuandikia Alikiba kupitia account yake ya instagram.
mru
1 m 4