Update:

30 January 2016

TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA,MASHAMBA,NYUMBA NA MAGARI JIJINI ARUSHA OPTMISTIC REAL ESTATE COMPANY LTD
Tupo Ilboru jengo la aspire media company
                                                               (sunrise radio arusha)
P.o.box 11064 arusha

UUZAJI WA VIWANJA,MASHAMBA,NYUMBA NA MAGARI
Kampuni ya Optimist Real Estate ya jijini Arusha inawatangazia umma kuwa uuzaji wa viwanja,nyumba za kisasa,mashamba pamoja na magari sasa mali zipo sokoni  kwa bei ya punguzo la 15% 
Ø Viwanja , nyumba na Mashamba Vipo -Burka Estate,Town center Area,Njiro Area,Sakina Area,Usa river,Tengeru,Ngurdoto,Kwa morombo Area,Kwa Iddi,Ngaramtoni ya juu,Kisongo Area,kikatiti, na Engo Ostabey
Ø Viwanja hivyo vina mandhari nzuri pia huduma zote za kijamii zinapatikana kama vile: umeme,maji ni uhakika,barabara zinapitika na zinakidhi viwango
Ø Fika OPTIMISTI REAL ESTATE COMPANY LTD ujipatie kiwanja,shamba kwaajili ya kuishi au biashara ya aina yoyote
Ø Bei ni kutokana na ukubwa wa mita za mraba
NB:Mnunuzi  atapatiwa fomu maalumu ya kujaza ili kuepuka matapeli na kesi za ardhi  na mali zisizo alali pia fomu na mikataba  ya ununuzi zinapatikana katika ofisi zetu tuu.

Kwa maelezo zaidi piga simu:+255 755 506 798 au +255 769 604 405 au Fika katika ofisi zetu jijini Arusha jengo la Aspire Media Company ltd.(sunrise radio 94.8 fm)
Barabara ya moshi Arusha kona ya Ilboru mkabala na ofisi za PPF