Update:

01 January 2016

Pichaz 10 za show ya Yamoto Band ndani ya Mombasa Kenya, mashabiki walivyochezeshwa kimadoido …

Yamoto Band baada ya kusambaza upendo wa burudani pange za Geita, Mwanza, Songea, Mbinga na Mbambabay, usiku wa mkesha mwaka mpya yaani December 31 walioamua kwenda kutoa burudani ya nguvu kwa majirani zao wa Kenya. Yomoto Band walidondosha burudani pande za Mombasa Kenya. Yamoto walipiga show ya hit singles zao zote na kuukaribisha mwaka mpya na mashabiki wao wa Mombasa. Hizi ni pichaz 10 kilivyohappen Mombasa.