Update:

Dr. Slaa ajiuzulu rasmi


Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Dr,Slaa atangaza rasmi kustaafu siasa baada
ya kutofautiana na wenzake juu ya kuwapokea Lowassa na wenzake.