Update:

Ni time ya Dkt John Pombe Magufuli na mgombea mwenza kurejesha fomu katika ofisi za NEC….

.
.
Baada ya Lowassa kurejesha fomu ya kugombea Urais 2015 katika ofisi za NEC,  sasa ni time ya mgombea kutoka kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) , Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan.

.
.
.
.
.
Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (Kulia).
DSC_3564
.