Update:

SOMA HAPA KUJUA VIASHRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
VIASHRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;
1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
2. Uume kusimama ukiwa legelege
3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili
( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege
5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.


VIASHIRIA VYA MWANAUME ASIYE NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.


Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;
i. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.
ii. Hukaa kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )
iii. Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.
iv. Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile
v. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile
vi. Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.


TIBA ASILIA YA TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.


Dawa asilia ya JIKO ni dawa asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.


MFUMO WA DAWA
Dozi ya dawa ya JIKO ni mkusanyiko wa dawa nne asilia zenye uwezo mkubwa sana katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hizi zipo katika mfumo wa MIZIZI na UNGA UNGA.


JINSI DOZI YA DAWA YA JIKO INAVYO FANYA KAZI.
Dozi ya dawa ya JIKO inafanya kazi zifuatazo katika mwili wa mwanadamu.


KAZI INAYO FANYWA NA DAWA YA JIKO .


Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:

1. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.


2. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.


3. Huongeza damu mwilini


4. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.


5. Huipa misuli ya uume uwezo wa kuziba wa kuizuia mishipa ya vena kunyonya damu kwenye mishipa ya uume wakati wa tendo la ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu
( Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka )


6. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo


7. Hurejesha, kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume


8. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila kuchoka.


9. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.


10. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.


11. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.


12. Husaidia kutibu chango la kiume.


13. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.